Studio / Mazungumzo
MAJARIBIO YA MWENYE TOVUTI Huduma bado haijafunguliwa kwa wateja. Pasi: $12 / siku 30 · maswali 300 + picha 30 + video 2 za sekunde 5.
WAZO LAKO, HATUA INAYOFUATA

Tuanzie kwenye wazo lako.

Andika unachohitaji. Jaribu ubora wa majibu ya Kiswahili na Kiingereza.

Jaribu bure, kisha chagua Pro

Free · mara moja kwa akaunti: maswali 5, picha 1 na video 1 ya sekunde 5. Credit hazijirudishi kila siku. Kundi la kwanza lina nafasi 10 za jaribio.

Toleo hili bado ni la maandalizi binafsi. Key ya seva, kiasi cha TSh na uzinduzi lazima vikamilike kabla ya wateja kuanza.

Bei za Omari AI · za kuanzia
HudumaBei ya kuuza
Pro · siku 30 · maswali 300 + picha 30 + video 2 za sekunde 5$12.00
Picha 1 ya ziada · 2K au 4K$0.15
Video sekunde 5$0.90
Video sekunde 10$1.80
Video sekunde 30$4.50

Muda wa siku 30 utaanza baada ya malipo kuthibitishwa. Hakuna malipo ya kujirudia yenyewe. Maswali na picha zilizobaki hazihamii kipindi kinachofuata. Ukiisha maswali au picha, subiri kipindi kingine au nunua matumizi ya ziada kwa bei itakayoonyeshwa. Pro inajumuisha video 2 za sekunde 5; video nyingine hulipiwa tofauti. Bei hizi ni za kuuza, si gharama ya API. Credit zinahesabiwa kwenye seva. Malipo bado hayajawashwa. Mwenye tovuti bado anaweza kufanya majaribio kwa key yake; uzinduzi utatumia key ya seva.

Majibu kwa Kiswahili

Matokeo ni ya AI na yanahitaji kukaguliwa. Hakuna ahadi ya kutimiza kila hitaji.

AU ANZIA HAPA